Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beki wa kushoto Benjamin Mendy ni mchezaji atakayekosekana kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya goti.
Arsenal wanataraji Sead Kolasinac atapona majeraha yake madogo ya nyonga kurejea kwenye mechi ya Etihad. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Bosnia-Herzegovina alitoka akiwa anachehemea wikiendi iliyopita katika ushindi dhidi ya Swansea baada ya kufunga na kutoa pasi ya goli, lakini Wenger anatarajia atakuwa fiti.
 
Wenger alibadili kikosi chake chote kwa mechi ya Ligi ya Europa dhidi ya Red Star Belgrade lakini Alexis Sanchez, Mesut Ozil na Alexandre Lacazette watakuwemo kikosi cha kwanza.
Hata hivyo, Shkodran Mustafi (misuli ya paja), Santi Cazorla (kifundo cha mguu), Calum Chambers (nyonga), Danny Welbeck na David Ospina (kinena) wote wataukosa mchezo.
 
Wakati mameneja ambao ni mahasimu wake wamekuwa wakisifiwa msimu huu, Fundi huyo wa Kireno amekuwa akishutumiwa kwa mfumo wake wa uchezaji.
Mourinho, ambaye timu yake itazuru Chelsea Juma[ili, amesema idadi ya mataji 25 ni alama ambayo mameneja wanatakiwa kuifikia ili wahesabike wenye mafanikio.
 
Wengine wanahitaji 25 kabisa kufikia idadi hiyo, wengine wanahitaji manne, wengine 12, wengine wanahitaji 15, na wengine 24.
"Nimefikisha 25 lakini bado nahitaji lingine zaidi. Kwa hiyo labda nitakaposhinda zaidi ya 25 ndipo nitakapopewa heshima yangu."
 
BZwF8ppBDwG.jpg
 
Back
Top Bottom