Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nina uhakika unafahamu nina maana gani… Funguo zangu zikowapi? ‘’Nilitakiwa kufanya nini leo ? wakati ambapo unajikuta moyo unakuuma na kuhisi kuwa kuna kitu umesahau kukifanya. Ule mkutano ni saa ngapi? Kumsahau mtu kwa jina, ingawa sura unaweza kuitambua.
 
Maswali haya hushambulia akili kila siku. Kama utaweza kurudisha vitu ambavyo umevisahau utaweka maisha yako kwenye foleni. Ingawa , kama usipoweza kukumbuka taarifa hizi –maisha yako yataanza kupoteza mwelekeo na utaanza kuona kama kuchanganyikiwa.
 
Kila mtu angependa kuboresha kumbukumbu, Lakini tunapohitaji tunapata kwa njia tofauti. Haihusiani na kiasi cha taarifa tunazopata ndani ya akili zetu, lakini ni kwa urahisi gani tunaweza kufikia hizo taarifa.
 
Inachanganya kila unapohitaji kukumbuka kitu , huwezi kukumbuka. Inachukua muda au mtu mwingine akusaidie ambae yuko karibu yako na mwenye kukufahamu vizuri.
 
Kwa mfano; Fikiria unaongea jambo la muhimu kazini kwako, unawaambia wateja wako mara unapoteza kile ambacho ulitaka kukisema baada ya mteja kuuliza swali la kukutatiza kidogo.
 
Unajigundua kuwa umekosa ujasiri, na kumbukumbu yako haipo kabisa japo jibu unalijua. Presentation yako inafail kwa sababu ya kukosa kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom