Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ni nini Majibu Ya Tatizo Hili?
Mazoezi. Meditation, Kula vizuri, Kulala muda wa kutosha masaa 5-7 ya usiku. Punguza kusikiliza taarifa ambazo sio za msingi kwako. Tafuta kile amacho kinakuhusu tu, sikiliza hicho . Mwone Dactari kwa ajili ya ushauri wa kutumia vidonge vya kuleta kumbukumbu vyenye Omega 3.