myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu Na viatu
[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu Na viatu
Mganga hajigangiKinyozi hajinyoi
Kwema kabisa muzee ya liverNzuri my dear kwema lakini
Labda ,''miguuniKinyozi hajinyoi
Subira anavuta shisha sikuhizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subira yavuta kheri
Kabisa jakitooMganga hajigangi
HahahahahaLabda ,''miguuni
Miguuni ananyoa nn myoya? au me ndo sijaelewaLabda ,''miguuni
Tutamfunza sisi!!Usipofunzwa Na mamayako utafunzwa Na ulimwengu
Du maisha yamekuwa hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subira anavuta shisha sikuhizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchagua jembe si mkulimaUkichagua sana Nazi mwisho utachagua koroma
Ni nachagua trekta.Mchagua jembe si mkulima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaongea kitu uzimaMiguuni ananyoa nn myoya? au me ndo sijaelewa