Ni mwendo wa like,Mmmh
Karibu kibiti mkuu.Hata wewe mwenyekiti ndo maana ujambazi hauishi huko.
Like upigwa likeUsijali hapa ndo kisiwa cha likes
Mazoezi ya 50k
Wanatoka..
uniq upo jembe languMpooo
Mbona bado hatujakimbiaSitawaangusha wakuu nitagonga likes hadi mkimbie nyie
Wenyewe mnaitamaniii
Good timing48005
Hahahaha [emoji12] [emoji12] naiwinda kimya...kimya
Eeeeeeh
Anza kuedit ya huyo aliyepichani na utonyeshe eeeeh
Amefungiwa na Kichwa KichafuHivi haka Katoto nyiramba girl kaliishia wapi nataka nikajaze likes
Ujambazi huo sasaHahahaha [emoji12] [emoji12] naiwinda kimya...kimya
Itafika kabla Siku kuisha..50k ni bahati tu
Mwanzo mzuri mama. Here we go.... Gonga like kwa kwenda mbele
Haha sipati picha ningekua nimeliambia janaume[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio mkuu