Lokii
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 708
- 2,092
Mi mzima, karibu eid imeshaanza hukuSijambo, mzima weye!?
Mi mzima, karibu eid imeshaanza hukuSijambo, mzima weye!?
Karibu mkuu, mdogo mdogo zitaongezeka usijali.Unanitafuta umesha changanywa nini
Hahahaha.....na nini/nani!?Unanitafuta umesha changanywa nini
Nashukuru mkuu ngoja nigonge kaziHongera kwa kukita kambi
Mkuu ile avatar ndo ulikua utambulisho wakoPoli
Kaaazii kweli kweli
Zanzibar kwetuMjimkongwe
Karibu mamaSpeed inakimbia
NimejuaQuigley
Tutai edit, tutabakiza ile sehemu tu zilipo hizo assets!
Ningeweza kukugongea likes mbili at a time ningekugongea[emoji12] [emoji12]Maana nimetumwa na wanauzi wa humu kugonga likes kwa kila post
Karibu tenaNimerudi tena