carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Karibu tupeane likesLeo nimemiss like zenu
Karibu tupeane likesLeo nimemiss like zenu
Sijambo, mzima weye!?babe S hujambo?
Mh ngoja tuone leoTunaita mwenye kisu kikali ndio anakula nyama
Endelea kuoga likesLeo nataka kuoga likes fanyeni mpango bas wadau [emoji137][emoji137]
Hili ndilo lengo lilitangazwa asubuhi ya leo.Naona dalili za 50k usiku wa leo, sijui iyakuwaje!
Hahahaha...Wewe chukua sio Kichwa Kichafu. Japo jana uli wish mabaya kwangu
Asante ndiyo mwendo wenyeweKaribu tupeane likes
Ha ha haaaaaaaa
Unataka nipewe talaka!?
Endelea kukita kambi hapa JF
MwwwMwaaa
Usiache kukita kambi kwenye uzi huuSijambo, mzima weye!?