Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAANDALIZI YA EID
Zijue aina kuu 3 za pilau
1. Pilau Mjazo Hii ni aina ya pilau ambayo ina nyama nyingi.
2. Pilau Makinikia. Aina hii ya pilau, nyama ni za kutafuta, hazionekani juu mpaka uunde tume.
3. Pilau Mfuto. Pilau hii huwa haina nyama, sanasana utaambulia viazi [emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom