Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Leo 50kShaaaaa naona 50k ni wakati wa sikukuu kesho awuuuuu
Eeeeh
Leo 50kShaaaaa naona 50k ni wakati wa sikukuu kesho awuuuuu
Eeeeh
Endelea kukita kambi hapa JFJang'ombe
Taratibu. ...Unanitafuta umesha changanywa nini
Tunaita mwenye kisu kikali ndio anakula nyamaJamani mniachie 50k leo na mi nitoe nuksi
MwaaaThe one and only
Tupoooo tunatafuta 50kMpooo
Changanya twende..Niko 22 mins ago huku
Hakika mkuu, unajua ukiwa mbali unatakiwa uwe na tupicha picha twa nyumbani kama kumbukumbuBila shaka mitaa ya sinde karibu na magereza
Upo mpendwa!Pana vutia kwakwel
Asante sana mama maana nilibaki kidogo nipitilize kituo kisa kugonga nyundo za likesKaribu tena