Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haijapoza ila binadamu sisi na roho zetu mbaya tu. Eti kwa vile wewe umekosa basi unataka na mwenzio akose. Kufungwa kwa Manchester U hakusaidii lolote katika kupunguza maumivu ya kufungwa kwa Arsenal na wala hakufuti ukweli kuwa inabidi nisamehe mahari hivi hivi...But for some reason eti nimefurahi. Binadamu!!!Kwa hiyo imepoza makali ya likes 100? [emoji1][emoji1]