Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hatujambo mkuu. Karibu sana. Huku ni Raha tupu !!!Natumai wote ni wazima wa afya na mwili
Hatujambo mkuu. Karibu sana. Huku ni Raha tupu !!!Natumai wote ni wazima wa afya na mwili
Mpoteze tu nami nitasaidia kumpoteza hawafai Wachimba chumviHakuna aliye salama bro. Ila atakayemchanganya Jakitoo wangu aisee ajiandae kupotea mazima...
Salama kabisa Cole, Thank you[emoji5] [emoji5]Asante JAKITOO
Mambo yako powa salamu yako ni njema
How was your day
Stress free zoneHatujambo mkuu. Karibu sana. Huku ni Raha tupu !!!