Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Vipodozi vya kuongeza unyevu au maji kwenye (seli za) ngozi
Kwa kiingereza vinaitwa “Moisturizersâ€. Hivi hufanya kazi ya kufunika ngozi na kuzuia maji yasipotee kutoka kwenye ngozi, na pia husaidia kuongea maji kuingia kwenye seli za ngozi. Vipo katika mtindo wa sabuni, mafuta na losheni.