HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Ndio maana yake.Huyu jamaa ni faru aisee Kiongozi!
BRIAN McKNIGHT Sauti ipo.
Uwezo wa Kuimba anao.
Kupiga Gitaa anaweza.
Drums yumo.
Malimba yumo.
Na vingine vingi.
Kifupi BRIAN ni JEMBE
Ndio maana yake.Huyu jamaa ni faru aisee Kiongozi!
Hakika Kiongozi
Hayo maneno!