Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuna vipodozi vizuri vingi sana hapa Tanzania, mifano ni Nivea, Fa, Vaseline, Dove, Clere, Skala, Zoa Zoa, E9, Siri, Protex, Pond’s, Roushun, Razac, ORS, Vestline, Queen Elizabeth, Kuza, Vatika na kadhalika
 
Kama unasumbuliwa na harufu mbaya kwapani hakikisha usafi wa hali ya juu kwa kunyoa nywele za kwapani mara kwa mara na kuoga kwa kutumia sabuni zenye dawa zinazosaidia kudhibiti bakteria. Tumia sabuni kama vile protex, dettol, rungu medicated soap, family medicated soap, protector nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…