Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukoo wetu huwa hauhamwi. Angalau tuambie kwanza ulikohamia tuone itakavyokuwa. Na 75% ya mahari yote inabidi irudi...
Norudishe mahari tenaaa?[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kiendacho kwa mganga hakirudi shemeji[emoji23] [emoji23]
Au kama vipi nipeni mume mwingine[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] au nihamie kwako kumkomesha jakitoo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom