Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Vile viatu vya mchuchumio vya Yego na hizi earings kipi zaidi?Kati ya earings zote hizi zimenivutia
Let me keep it for todayIla aje tena?[emoji15] [emoji15]
Halafu unaivalia wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimehama ukoo
Halafu hatujakaa kikao cha ukoo nikushtaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi earings[emoji125] [emoji125] [emoji125]Vile viatu vya mchuchumio vya Yego na hizi earings kipi zaidi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Let me keep it for today
COLEWORLDLOVESYOU
Ukoo wetu huwa hauhamwi. Angalau tuambie kwanza ulikohamia tuone itakavyokuwa. Na 75% ya mahari yote inabidi irudi...Nimehama ukoo
Halafu hatujakaa kikao cha ukoo nikushtaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkononi[emoji23] [emoji23]Halafu unaivalia wapi?
Nimeachana nazo sikuhizi nanywa fanta orange....Kitu kizito hicho. Wala hakikufai aisee. Kuna kitu hapa kitamu kina 68.5%vol nitakuonjesha siku moja. Ndicho kilinifanya nihamie kwenye mvinyo pekee...Hatari sana !!!
Nikuulizie bei? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Hizi earings[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila hata vile viatu vizuri basi tu[emoji23] [emoji23]
Norudishe mahari tenaaa?[emoji134] [emoji134] [emoji134]Ukoo wetu huwa hauhamwi. Angalau tuambie kwanza ulikohamia tuone itakavyokuwa. Na 75% ya mahari yote inabidi irudi...