Hapo ndipo nashindwa kushangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu mbona me sikuonewa huruma hapa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namtakia maisha mema mana saizi ninakaribia kwenda tukuyu,nafainolaizi divosi pepa [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi unajua kama jamaa ni muhasibu tena wa wizara[emoji23] [emoji23] [emoji23] hafulii leo wala kesho[emoji125] [emoji125]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] najua wewe ni bingwa wa kutengeneza migogoro... Usijaribu