Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mbali na kuondoa allergy dawa hizi huondoa ngozi ngumu na rough ya nje (Ngozi ambayo hutusaidia kutukinga dhidi ya miale mikali ya jua, kansa, michubuko nk), hivyo kuiacha ngozi laini ya ndani kidogo ambayo haiwezi kutukinga vizuri dhidi ya miale mikali ya jua, kansa, michubuko nk.