USHAURI
Tatizo la tumbo kujaa gesi na kiungulia huweza kutibiwa na kupona moja kwa moja. Usitegemee dawa za kupunguza au kutuliza kwa muda mfupi tu, badala yake pata matibabu ya moja kwa moja ili upone kabisa na usiteseke tena.
Matibabu ya tatizo hili hutegemea sana kujizuia usitumie tena vitu ambavyo huweza kusababisha tena au kuongeza tatizo. Epuka kabisa vyakula, vinywaji na vitu vingine vyote vinavyosababisha au kuongeza tatizo hili.
Pata ushauri wa daktari ili kujua matibabu mazuri zaidi kwako na kisha tumia dawa zote vizuri kabisa