Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MATIBABU YA KIUNGULIA NA TUMBO KUJAA GESI

Kiungulia na tumbo kujaa gesi ni matatizo yanayotibika vizuri sana bila tatizo lolote. Cha kwanza na cha msingi sana ni kujua kitu gani kinasababisha tatizo hilo kwako na kisha kuanza kuacha na kukiepuka kabisa.
 
USHAURI

Tatizo la tumbo kujaa gesi na kiungulia huweza kutibiwa na kupona moja kwa moja. Usitegemee dawa za kupunguza au kutuliza kwa muda mfupi tu, badala yake pata matibabu ya moja kwa moja ili upone kabisa na usiteseke tena.

Matibabu ya tatizo hili hutegemea sana kujizuia usitumie tena vitu ambavyo huweza kusababisha tena au kuongeza tatizo. Epuka kabisa vyakula, vinywaji na vitu vingine vyote vinavyosababisha au kuongeza tatizo hili.



Pata ushauri wa daktari ili kujua matibabu mazuri zaidi kwako na kisha tumia dawa zote vizuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…