Vinginevyo huwa kitu cha hatari, ufanisi wake hupungua au kuisha kabisa na vijidudu vya magonjwa kuwa sugu kiasi cha kushindwa kuuliwa tena na dawa hizo.
Endapo utaacha kutumia dawa hata kama utahisi umepona au umepata afadhali kinachoweza kutokea ni ugonjwa kutopona kikamilifu au kutopona kabisa na kuweza kujirudia baada ya muda