Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Good nite
Vijana jazz enzi ya maneti soro hamza kalala mkuu. Tuko pamoja.Zomboko ananitoa machozi na ngoma za kitambo Radio one-Penzi halina umaarufu ndio inagongwa saizi. Hatariiiiiii!!!
Hatari sana! Hizi ngoma hazichuji Mkuu!Vijana jazz enzi ya maneti soro hamza kalala mkuu. Tuko pamoja.