Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji443] Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowoo
Hata ujirembe vipi, sisi tunatazama wowowooo
Sura hata mbuzi anayo, ila sasa wowowoooo[emoji446] [emoji443]
 
TAJIRI ALIENUNUA NYUMBA 3 LUGUMI: Mwenyewe kaibuka mnadani akiwa simple, kavaa shati na tai alafu chini kapiga sendoz, kanunua nyumba 3 kwa mpigo, moja Bilioni 1.1 nyingine MILIONI 700..
 
[HASHTAG]#BreakingNEWS[/HASHTAG] Jamaa aliejitokeza na kununua kwa mnada nyumba 3 za Lugumi leo, moja MILIONI 700 na nyingine BILIONI 1.1 amekamatwa na Polisi. _ Dr. Luis Shika amekamatwa baada ya kuharibu mnada, ameshindwa kutoa asilimia 25 kama yalivyo masharti ya mnada, mnada unarudiwa tena. ...
 
[emoji443] Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowoo
Hata ujirembe vipi, sisi tunatazama wowowooo
Sura hata mbuzi anayo, ila sasa wowowoooo[emoji446] [emoji443]
CHAMA WA WAPENDA MISAMBWANDA TANZANIA (CHAWAMITA). Muone Katibu Mkuu Mh. Moudgulf upate kadi yako mkuu. Ada za uanachama wasiliana na Mh. GT BAK. Ishu zingine zote onana na Mwenyekiti Andjul au Katibu Mwenezi SBY. Karibu sana !!!
 
Ilikuwa show off ama? Watu wengine bwana. Na huyo Lugumi mwenyewe yuko wapi? Kwa nini nyumba zake zinapigwa mnada?
 
Muhimu sana hii. Watu hatunywi maji ya kutosha. Matokeo yake matatizo ya figo huko mbele ya safari.
 
Yaaniiiii kila muda nitataka kukaona[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Nakusalimu dadii?
Nipo salama binti mwema malaika mrembo wa kizazi chetu. Niko hapa nashangaa madege ya kijeshi kwenye kambi moja la jeshi la anga. Ni weponzi ofu distrakisheni kwa kweli. Binadamu ni kiumbe mtata sana !!!

[emoji117][emoji117][emoji117]Siku yako ya kazi inaishaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nlivoona mandege nkajua siku imewadiaa.... Usisahau picha na mm nishangae dadii [emoji6] [emoji6]

Iko salama kabisa kijana mwema, Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…