Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ilikuwa show off ama? Watu wengine bwana. Na huyo Lugumi mwenyewe yuko wapi? Kwa nini nyumba zake zinapigwa mnada?
Lugumi story ndefu jamaa alikua na hela balaa ila tangu magu aingie madarakan kesi anazo mia kidogo. Nyumba kanyangwanywa ati alikwepa kodi. Kwa kifupi wamemfilisi bila kupenda
 
Lugumi story ndefu jamaa alikua na hela balaa ila tangu magu aingie madarakan kesi anazo mia kidogo. Nyumba kanyangwanywa ati alikwepa kodi. Kwa kifupi wamemfilisi bila kupenda
Kama mtu hakuiba na kutajirika wakati wa JK basi ajilaumu mwenyewe tu. Huyu ndo nasikia alikuwa anapaka rangi viatu akapata bahati akamuoa binti wa ex IGP Said Mwema na kuanzia hapo akapata access ya Magogoni akatajirika ghafla? Pole zake kwa kweli !!!
 
b23d2e2242553cd8faeda9c186ffa5dc.jpg
 
Back
Top Bottom