Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DAWA ZA FANGASI NA JINSI YA KUZITUMIA VIZURI

Fangasi ni miongoni mwa vijidudu vya magonjwa vinavyosumbua watu wengi. Magonjwa ya fangasi ni mengi sana na mengine ni hatari sana kiasi cha kuweza kusababisha vifo, hususan kwa watu wenye kinga ndogo ya mwili.
 
Tatizo kubwa zaidi kwa watu walio wengi ni fangasi wa kwenye ngozi, kucha na nywele. Husababisha mapunye, mashilingi, muwasho, michubuko, vidonda, vipele, harufu mbaya, nywele kutoota vizuri, kucha kukatika au kutoota nk
 
Hapana,hapana.Hata Yesu aliomba kile kikombe cha maumivu kiondolewe japo alikitarajia ili yatimie.Sembuse wewe mla matoki na kasokela au viazi vya Ntokela/Ndagha?
Umeanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Yes,yes,yes,yes.....
Cole kuja pande hii muyajenge
 
DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YA FANGASI

Tuna dawa nyingi za kutibu magonjwa ya fangasi. Dawa hizi zinatofautiana sana kwa uwezo na aina ya fangasi zinazoweza kuwadhibiti vizuri. Kwa hiyo, sio kila aina ya fangasi inaweza kutibiwa kwa dawa yoyote ya fangasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…