Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Plzzz Cole siwezi fanya kwa kweli. Ule mkataba wa picha nauchana rasmi,kuanzia sasa nitaiongoza vema familia yako.
Mweee tummoghelee tummoghelee....tummoghelee eeee,
Cole ghwitu tummoghelee, jhope carba tummoghelee[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] alillilililiiiiiiiiii .....
Hebuuuu mniacheee[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Screenshot_2017-11-09-22-06-13.png
 
Ila tambua kitu kimoja, madaktari wakikuandikia dawa zaidi ya moja sio kwamba wanataka kuongeza faida. La hasha! Inawezekana una maambukizi mchanganyiko au una ugonjwa zaidi ya mmoja hivyo ni lazima kutumia dawa zaidi ya moja. Nunua na utumie dawa zote.
 
All beautiful relationships do not depend on how well we understand someone; instead they depend on how well we manage the misunderstandings.
Beautiful Relations need a [emoji178] Good Heart and Steadfast Trust. A Good Heart, benevolent feelings and a balanced mind lie as the foundation of [emoji257]strong character - capable of standing firm amidst innumerable temptations and trials, thus enabling us to bear the
and tear of actual Life.
 
JAMBO LA ZIADA

Sheria za zinazosimamia biashara ya dawa zinapiga marufuku matangazo kwa umma ya dawa na maeneo yanayotoa huduma na kuuza dawa. Hii ndiyo sababu huoni matangazo ya dawa, famasi, maduka ya dawa wala hospitali  kwenye TV, video, magazeti, redio nk
 
Back
Top Bottom