Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya Andjul. Njia nyeupe. Beba mke sasa. Mimi pia nabwaga manyanga. I was holding some hope kuwa mpigwa talaka angepambana. Nitaonekana vibaya mbele ya ukoo na jamii kwa ujumla kama nitaendelea kupinga wakati mtalikiwa kabariki. Isije ikaanza kusemwa napigana kwa sababu ya sababu zangu binafsi.

It's official now. Shemeji yangu kipenzi kaingia ndoa ya mitala rasmi. Kimbembe ni pale mke mkubwa atakapozinyaka habari kamili. I predict WW III...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muacheni carba aje kwangu
 
Haya Andjul. Njia nyeupe. Beba mke sasa. Mimi pia nabwaga manyanga. I was holding some hope kuwa mpigwa talaka angepambana. Nitaonekana vibaya mbele ya ukoo na jamii kwa ujumla kama nitaendelea kupinga wakati mtalikiwa kabariki. Isije ikaanza kusemwa napigana kwa sababu ya sababu zangu binafsi.

It's official now. Shemeji yangu kipenzi kaingia ndoa ya mitala rasmi. Kimbembe ni pale mke mkubwa atakapozinyaka habari kamili. I predict WW III...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii itakuwa WW4 nafikiri,maana dadayako naye jeuri halafu hataki kugivu apu
 
Screenshot_2017-11-09-21-32-22.png
 
Uhame ukoo au ubadilishe mume? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Nihame ukoo kabisa maana naona kuna sintofahamu kwenye hili jambo la "ndoa yangu ya pili"[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Back
Top Bottom