Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu mkuu, unaanza[emoji3] [emoji3] [emoji3] Andjul utambebea mbeleko gani
Nilikuwa natest zali mkuu...Mambo yakinizidia na[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Weraaaa weraaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc:SHIMBA YA BUYENZE
andjul
Aiseeeeee!

Bro evenchuale kagivapu...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Makaburi gani hayo? Na kwa jinsi ulivyo bingwa wa kufukua makaburi. Forensic Anthropologists hawakufikii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali shemeji. Tusizidi mipaka,amani ni bora zaidi kuliko furaha.
Mdogo wangu huko alipo sidhani kama yupo vizuri,damu ni nzito kuliko maji ujue...
 
Bro mimi mchango wangu kwenye kikao ni kwamba carbamazepine popote anapohisi atapata furaha basi kwangu mimi ni sawa.
I wish all the best this world could give her
Haya Andjul. Njia nyeupe. Beba mke sasa. Mimi pia nabwaga manyanga. I was holding some hope kuwa mpigwa talaka angepambana. Nitaonekana vibaya mbele ya ukoo na jamii kwa ujumla kama nitaendelea kupinga wakati mtalikiwa kabariki. Isije ikaanza kusemwa napigana kwa sababu ya sababu zangu binafsi.

It's official now. Shemeji yangu kipenzi kaingia ndoa ya mitala rasmi. Kimbembe ni pale mke mkubwa atakapozinyaka habari kamili. I predict WW III...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom