Makaburi gani hayo? Na kwa jinsi ulivyo bingwa wa kufukua makaburi. Forensic Anthropologists hawakufikii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee mzee,unapigana vita ya kimya kimya? Yale makaburi manne ya nyuma yalikuwa yanamaanisha?
Kweli kikulacho.... Broo popote ulipo niajeee
Unaomba nini Rahabu? Kama ni likes chukua kiasi cho chote unachotaka!!!Naomba
Ndomana nimekuja chukua nawe chukua hiiUnaomba nini Rahabu? Kama ni likes chukua kiasi cho chote unachotaka!!!
Wanafyatua kijanja janja na kwa upendo. Ndiyo raha yake. Siyo kama kule kwenye majukwaa mengine huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli , ukichukulia siriaz hapa pia utatoa povu la haja au laa utakimbia uzi[emoji3] [emoji3] [emoji3] maana hapa pia kuna watu wanafyatua si mchezo
Eti unaona eeh? Kuna upendo au u bro kweli hapo? Dadako "mjengezi" anatuulia ukoo haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shombo hizi zote unamrushia ndugu yako????
Veri simpo,ningegivuapu mapemaaaa...Muwage na huruma jamani. Unafikiri Cole akiona hivi anajisikiaje? Wewe ungekuwa Cole ungejisikiaje?
Acha kushabikia ndugu yangu,leo kwako kesho kwa Yegomasika.Haya maisha tu...Mkuu, tulia ulambe dawa[emoji3] [emoji3] [emoji3] hakuna namn a . Vita vya upanga vyapiganwa kwa mapanga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]