Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na ndiyo lengo hilo,tatizo mkoromije hategeki[emoji23] [emoji23] [emoji23] la sivyo kitoo ningemkomesha[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Muwage na huruma jamani. Unafikiri Cole akiona hivi anajisikiaje? Wewe ungekuwa Cole ungejisikiaje?Kilicho pangwa na aliye juu,lazima kitimie na hatimaye kimetimia...Mengine yatabaki story tu![]()
Mwambie avumilie maumivu maana alicho kitupa kimeokotwa na...![]()
Nakwambia ni shida. Halafu na hizi picha utafikiri anazo sehemu anakaa ametegeshea yaani zinaendana na mada copyright. Kama ni mume safari hii utakuwa umepata shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unavijembe khaaa!
Mkuu, tulia ulambe dawa[emoji3] [emoji3] [emoji3] hakuna namn a . Vita vya upanga vyapiganwa kwa mapanga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
Heeee!!! Ina maana...