Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mimi nimejitwalia kwa nguvu? Unaujua mkataba wetu kuhusiana na picha aliyo kuwa anaitumia ya carba?Afadhali nimepumua...Wanaukoo hatutakubali ajitwalie shemejiye kwa maguvu. Na Cole ni lazima ashirikishwe japo kwa ushauri wa awali. Ubinadamu muhimu jamani !!!
Hahahaha, umeibuka toka chimbo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jiwe gizani limepata mtu. UTANI TU JAMANI KHAAAAAA!!!!Hakuna anayeuchukulia huu utaki serious bhana[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ni bora usiende kabisaaaaaShemeji mbona masharti yanaanza kuwa mengi na magumu?
Mara ya kwanza yego ulimkataa ukasema nije na cole,sasa cole tumeachana,nsamaka siwezi kuja naye maana tunaweza tusifike hiyo safari,switihati shemeji andjul hutaki nije naye na hata kuja peke yangu hutaki...
Sijui ndo nanyimwa hako ka ndama[emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbeeee...dunia hii ya ajabu sana.Tuna pigana vikumbo kwenye korido mojaWewe mwenyewe umechanganya madesa. Anyway, tafuta mtu mwingine ye yote lakini siyo Andjul. Ukikosa basi hata peke yako njoo tu. Jakitoo ataelewa bila shaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kitoo pia ana msimamo thabiti, naamini hatetelekiNa ndiyo lengo hilo,tatizo mkoromije hategeki[emoji23] [emoji23] [emoji23] la sivyo kitoo ningemkomesha[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni kama na yeye anaku"mate" ili kulipa kisasiKaeni kikao sasa muamue tena nawapa 24hrs muwe mshafikia maamuzi la sivyo nafanya maamuzi magumu.
Halafu shem hii ndoa mpya mbona kama unaiwekea vipingamizi[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu huu mchezo wa kuazimana dawa umenikumbusha kisa kimoja jijini dar, baba na mama wamefariki siku moja,kuzikwa siku moja kwa uzembe wa ndugu na majirani.Pole shemeji...
Huko vijijini hii dhana ya matumizi sahihi ya madawa haya ya hospitalini ndiyo ziro kabisa. Vidonge vya Malaria vinakuwa abused mno. Watu wanaazimana mpaka dawa. Imagine that....
Utakuwa unakosea maana halisi[emoji3] [emoji3] [emoji3]K umbe kwenye utani huu kuna watu wanafanya kweli!!!! duuuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weee mzee,kwani...Nina sababu zangu. Andjul hapana kwa kweli. Afadhali hata urudi kwa Cole tu. Tena sasa hivi atakuwa keshajifunza na hatakuteki fo grantedi tena...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na upande wa huku mimi ndiye kaka mkubwa wa mjadiliwa...patamu hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kikao kitakuwa kigumu kwa sababu mhusika mmojawapo mkuu ndiye kajiozesha. Aliyelimwa talaka naye haonekani sijui ndo amesusa jumla. Hicho kikao kitaendeshwaje sasa?
Naonaaa SYB [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha ausuke tuu bebi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]'Kitoo mama njoo huku! Kuna mpango wa kukufletisha unasukwa huku.
Haya mhusu.Akae kimya kabisa,kama ni kindama chake abaki nacho hukoo.Cc:andjul hebu kuja huku kwanza,shemeji anapiga vita hii ndoa yetu mpya[emoji17] [emoji17]
Baba mmoja alifariki jioni saa 10:30 kwa malaria, jioni mama amelia sana mpaka presha yake ikashuka kama ilivyo kawaida. Ndugu wakaanza kumpepea wakasema "huyu ana presha" hawakufafanua. Jirani mmoja akasema "ngoja nikamletee vidinge vyangu" mama aliyefiwa alikuwa na presha ya kushuka, akapewa vidonge vya mtu mwenye presha ya kupanda. Masaa machache mama akazimika. Lilikuwa tukio baya, mahiwa st kariakoo DamPole shemeji...
Huko vijijini hii dhana ya matumizi sahihi ya madawa haya ya hospitalini ndiyo ziro kabisa. Vidonge vya Malaria vinakuwa abused mno. Watu wanaazimana mpaka dawa. Imagine that....
HahahahahaUtani huu ndiyo sababu kuu mojawapo inayonifanya niumiss uzi huu. Na kwa asilimia 99.99 huu ni utani japo pia haitashangaza kama michomozo ya hisia za kweli itajiibua hapa na pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]