Ntaelewa aje tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe mwenyewe umechanganya madesa. Anyway, tafuta mtu mwingine ye yote lakini siyo Andjul. Ukikosa basi hata peke yako njoo tu. Jakitoo ataelewa bila shaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa...nsamaka inakuwaje hapo??? Ukoo wa Mwak...halafu uchanganywe na wa Shija... Kweli???Andjul hapana kwa kweli. Afadhali tu hata uje na Nsamaka mke mwenza. Au hata kaYego kakokote uje nako!
Ndama huyu akikua bila shaka ukoo wa akina Jakitoo watamchukua.
Nipo bro soon nitakuwa full na ma horse power mengiHalafu sijui amejifunza mbinu za kikomando za Uniq dhidi ya Mchina. Cole naye kapotea. Isije ikawa kamteka anamtesa huko Tukuyu kijana wa watu mpole mshusha paraboz. Sad !!!
Ni tatizo kubwa kwa kweli. Na hapo bado hujachomeka na imani za kishirikina sasa...Asante shemeji...
Hiyo kitu nishawahi kutana nayo,pia kuna hii tabia ya kujinunulia dawa bila kujua shida ni nini hasa hizi dawa za malaria ni hatari kwakweli.
Bila kusahau tabia ya kuchanganya madawa ya hospitali na haya ya kienyeji/tiba mbadala,nafikiri kuna haja kubwa sana ya kutoa elimu hasa vijijini juu ya matumizi sahihi ya haya madawa pamoja na athari zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana sitopoteza netwekiUtamfanya kitoo apoteze network[emoji3] [emoji3]
Dadako "Mjengezi". Bila yeye uzi huu ungekuwa veeeeere boooooaringi....We Dada ni mtaaaata[emoji3] [emoji3] [emoji3] siyo bure
Duuu, ilikuwaje Dada? Tafadhali dadavua tupate somoAiseeh!pole yake
Ila tramadol siyo kabisa ile ilitaka kunizimisha siku moja sina hamu nayo