myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani moyoni
Mkuu mkuu, unaanza[emoji3] [emoji3] [emoji3] Andjul utambebea mbeleko ganiAndjul hapana kwa kweli. Afadhali tu hata uje na Nsamaka mke mwenza. Au hata kaYego kakokote uje nako!
Ndama huyu akikua bila shaka ukoo wa akina Jakitoo watamchukua.
Kwa sasa niko peke yangu labda nijiite. Wengine wote siwaamini. Urembo wako ndo tatizo...Itaneni tu mliopo
Ukishaachana na nsamaka nambie nije tukuyu nishapaki mabegi tayari[emoji162] [emoji163] [emoji161] [emoji164]Veri sipo,nitamvuta mkono tu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Shemeji usiogopeshwe na hiyo "switihati"hata wewe waweza kuwa switihati,hii ndoa bado sijakubali maana mahari haijalipwa kwetu
Ohoooooo!kumbe umeona[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]'Kitoo mama njoo huku! Kuna mpango wa kukufletisha unasukwa huku.
Uncle Bastian
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sergio Romero
He!Aiseeh!pole yake
Ila tramadol siyo kabisa ile ilitaka kunizimisha siku moja sina hamu nayo
Anthony martial
Eric baily
Mbona Cole yupo firii? Aende hukoAkija hapa anaweza pata hatiataki[emoji23] [emoji23] [emoji23] si kwa pindua pindua hii
Lions don't compare them self to humans
Halafu sijui amejifunza mbinu za kikomando za Uniq dhidi ya Mchina. Cole naye kapotea. Isije ikawa kamteka anamtesa huko Tukuyu kijana wa watu mpole mshusha paraboz. Sad !!!Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] chezea Andjul . anamsomesha namba kijana Cole . [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mi simo
Magician miktaryan
Hahahaha, nyie watu[emoji3] [emoji3]Shemeji mbona masharti yanaanza kuwa mengi na magumu?
Mara ya kwanza yego ulimkataa ukasema nije na cole,sasa cole tumeachana,nsamaka siwezi kuja naye maana tunaweza tusifike hiyo safari,switihati shemeji andjul hutaki nije naye na hata kuja peke yangu hutaki...
Sijui ndo nanyimwa hako ka ndama[emoji57] [emoji57] [emoji57]