Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1510242664523.jpg
 
Mkuu ukimaliza darasa la Valium ambayo imehusika kuondoa uhai wa baba wa rafiki yangu, kuna dawa ya maumivu inaitwa Tramadol, vijana hapa Dar huitumia bila ushauri wa tabibu hasa wanapoanza harakati za kuacha kuvuta unga
Aiseeh!pole yake
Ila tramadol siyo kabisa ile ilitaka kunizimisha siku moja sina hamu nayo
 
Wewe mwenyewe umechanganya madesa. Anyway, tafuta mtu mwingine ye yote lakini siyo Andjul. Ukikosa basi hata peke yako njoo tu. Jakitoo ataelewa bila shaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi naja mwenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kitu ilimpiga vaisi vesa baada ya kuitumia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eee Mungu niinue mbele ya maadui zangu[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yego kwisha habari yako.[emoji124] [emoji124] tembea na Yesu,ameeni,tembea na Yesu,ameen haleluya ameen[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaeni kikao sasa muamue tena nawapa 24hrs muwe mshafikia maamuzi la sivyo nafanya maamuzi magumu.
Halafu shem hii ndoa mpya mbona kama unaiwekea vipingamizi[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nina sababu zangu. Andjul hapana kwa kweli. Afadhali hata urudi kwa Cole tu. Tena sasa hivi atakuwa keshajifunza na hatakuteki fo grantedi tena...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom