Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapo sasa !!!Muongooo,mbona umefumaniwa mara nyingi kwenye mazizi ya wenzio...
Hapo sasa !!!Muongooo,mbona umefumaniwa mara nyingi kwenye mazizi ya wenzio...
Ila nitapitia koromije kwanza nikae kae kama miezi 3 au mi4 hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]wachaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oni mai weiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Njoo
Mama wa mimi huyoo...Switihati nakusabahi[emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu sana shemeji. Yule ndama wenu niliyewaahidi na Cole anazidi kunona. Mkizubaa nitakuja kumtoa mahari kwa akina Jakitoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila nitapitia koromije kwanza nikae kae kama miezi 3 au mi4 hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amin[emoji120] [emoji120]
Senkyu Godi[emoji120] [emoji120] na ikawe itakavyo kuwaSafi tu safari ya kuhamia tukuyu imeanza kuiva[emoji5] [emoji5]
Salama kabisa kiongozi,habari ya wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] habari yako muhenga
Safi mama,mzima?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shemeji habari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dokta. Ukipata muda naomba uongelee na hii dawa. Juzi kuna mtu (Yego) alipoteza netiweki baada tu ya kusikia jina lake. Ningependa kujua inavyofanya kazi kwa sababu sijawahi kuona dawa yenye uwezo wa kumwangusha mgonjwa kwa kuisikia tu ikitajwa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
![]()
Ina maana ndoa ile umeikubali? Yaani jamaa kajitwalia shemejiye kwa kukurupuka tu na kujitangazia hivi hivi? I kanti bilivu zisi izi hapeningi !!!Switihati nakusabahi[emoji8]
Salama kabisa za wewe hapoMama wa mimi huyoo...
Niaje wangu
Chaaa!umtoe kama mahari tena?Karibu sana shemeji. Yule ndama wenu niliyewaahidi na Cole anazidi kunona. Mkizubaa nitakuja kumtoa mahari kwa akina Jakitoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nsamaka sijui mtambebea mbeleko gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Senkyu Godi[emoji120] [emoji120] na ikawe itakavyo kuwa