Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi una distract huu hasa kama unafanya kazi inayohitaji focus kidogo. Mzee wa Liver naamini amekula vihasara hasara kwenye Forex na imebidi asuke ama kunyoa. Ni gemu nzuri ila ina matatizo yake. Ndo maana akina KK, Moudgulf, Myoya, Andjul na hata Ruta sasa wameanza kuingia kwa wakati maalum.

Lakini pia uzi una faida nyingi mno na ni sehemu nzuri ya kupotezea mawazo na kupunguza stress. Kama mtu una muda kuliko kwenda jukwaa la siasa, this is a place to be. Na unaweza kupata mpenzi wa kweli humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili uweze kuufurahia Uzi huu, ni vema uwe unaingia wakati maalum, vinginevyo utauchoka na mwenyewe kuchoka pia. Vinginevyo sikujua kama hapa unaweza kujipatia mke/mume. Ndiyo kwanza nasikia kwako[emoji3] [emoji3] nashukuru kwa elimu huyo
 
Back
Top Bottom