Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mifano ya dawa ambazo mara nyingi zimekuwa zikitumika vibaya ni Amoksilini (Amoxicillin), Metronidazole (Flagyl), Ampisilini (Ampicillin), Azithromaisini (Azithromycin), Siproflaksini (Ciprofloxacin), Sefaleksini (Cefalexin), Peni V (Phenoxymethyl Penicillin / Pen V), Ampikloksi (Ampiclox), Tetrasaiklini (Tetracycline) na Doksisaiklini (Doxycycline).
 
Watu wamekuwa wakitumia dawa hizo kutibu kikohozi, maambukizi katika njia ya mkojo (U.T.I.), kisonono, kaswende, kuharisha, tumbo kuuma, homa iliyoambatana na maumivu ya viungo, Mafindofindo/Tonsilzi (Tonsilitis), vidonda na kadhalika.
 
6a63c2c45a33994f4ce19cbfb55c0e68.jpg

[emoji7] [emoji7]
 
Back
Top Bottom