Baby its okay sio lazima uwe na uelewa na Muziki.... Just be you Unatosha shimba Nakupenda sana[emoji8]Imebidi nianze kufuatilia muziki ili niwe na knowledge ya muziki kama Cole. Baby nivumilie tu...NAKUPENDA!!!
[emoji173] [emoji173] [emoji179]
Uzi una distract huu hasa kama unafanya kazi inayohitaji focus kidogo. Mzee wa Liver naamini amekula vihasara hasara kwenye Forex na imebidi asuke ama kunyoa. Ni gemu nzuri ila ina matatizo yake. Ndo maana akina KK, Moudgulf, Myoya, Andjul na hata Ruta sasa wameanza kuingia kwa wakati maalum.Jaman mie nilidhan isis karudi kimoja kumne alikuja salimia na kuondoka. Angekimbiza balaa.likes milion hadi raha. Hahahaaa ukaguzi wa kuvizia haufai ujue.konge mpaka wa leo kapotea kimoja