Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1510159853817.jpg
 
Uzi hautaisha. Ndo tatizo lipo hapo sasa. ISIS angekuwepo na spidi yake ile nadhani kwa sasa angekuwa anakaribia milioni moja. Kuna Ruta na Mzee wa Liver mbele yako. Na wengine huku nyuma wanafuatia.

Nitakuwa nakuja humu kuchati na kukagua zizi langu basi....
Jaman mie nilidhan isis karudi kimoja kumne alikuja salimia na kuondoka. Angekimbiza balaa.likes milion hadi raha. Hahahaaa ukaguzi wa kuvizia haufai ujue.konge mpaka wa leo kapotea kimoja
 
Back
Top Bottom