Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haya bana. Yetu macho [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Nitaongea na ndugu yangu,naamini tutafikia muafaka.
Haya bana. Yetu macho [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Nitaongea na ndugu yangu,naamini tutafikia muafaka.
Imebidi nianze kufuatilia muziki ili niwe na knowledge ya muziki kama Cole. Baby nivumilie tu...NAKUPENDA!!!Richard Marx[emoji4][emoji171]
Right here waiting[emoji445][emoji445][emoji445]
HahahahaaaaHaiwezekani...
Nitakaa kikao na ndugu yangu Cole. Lazima carba abaki kwetu,naamini Cole atabadilika kwenye mwezi wa tano mwakani(hakutakuwa na ipielo wala yusielo) na carba nitamrudisha kwa mume (bila kujali kama atakuwa amenenepa kwa mbele) waendelee na maisha yao."alichokuwa anakitafuta atakuwa amekipata(asema Shimba)" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] undugu kusaidiana kwenye shida. Weraaaaaa weraaaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usiogope baby tutaondoka woteeeNdo hapo sasa. Sijui nitafanyeje? Akiweka tu miziki yake Cole huyuuu na paraboz zake. Mara kaYego hakaa kanapayuka 'Kitoooooo! Yaani mtu inabidi ukae unazunguka zunguka humu kuangalia hali ilivyo. Hiki ndo kinaninyima raha !!!
Shemejii naona umevuta jiko jipyaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vile jakitoo alivyo mcheshi sasa...
Hahahahaahaa mapinduzi ya mwaka. Usipotee usije lia kwa kumkosa jakito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ubaya wa hizi likes ni kwamba hazina ukomo. Mimi nimeweka malengo. Ninayo namba kamili nikiifikisha tu basi nitapunguza sana kuingia humu. Shida sasa itakuwa zizi langu kwa sababu humu ukizubaa tu unakuta watu walishafanya yao. Yaani marevolusheni nje nje mpaka inakera !!!
Halafu itika zao za "abee" zinashawishi sana.Ndo hapo sasa. Sijui nitafanyeje? Akiweka tu miziki yake Cole huyuuu na paraboz zake. Mara kaYego hakaa kanapayuka 'Kitoooooo! Yaani mtu inabidi ukae unazunguka zunguka humu kuangalia hali ilivyo. Hiki ndo kinaninyima raha !!!
Ukoo wa ajabu huu haki ya nani. Sipati picha mwolewaji akija !!!Hahahahaaaa
Yaan sjna malengo mpaka zitakapoishi ntaenda nazo mpaka mwisho wa uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ubaya wa hizi likes ni kwamba hazina ukomo. Mimi nimeweka malengo. Ninayo namba kamili nikiifikisha tu basi nitapunguza sana kuingia humu. Shida sasa itakuwa zizi langu kwa sababu humu ukizubaa tu unakuta watu walishafanya yao. Yaani marevolusheni nje nje mpaka inakera !!!
Richard Marx[emoji4][emoji171]
Right here waiting[emoji445][emoji445][emoji445]
Na ukute hana habari kama nsamaka na talaka ya kulazimishwaUkoo wa ajabu huu haki ya nani. Sipati picha mwolewaji akija !!!