Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Very true,Homo Sapiens - the most destructive specie(s) on planet Earth...
Very true,Homo Sapiens - the most destructive specie(s) on planet Earth...
Kama ameniburoku,niombee aniburokue...Jana alikuwa kazini usiku. Ndipo ka Yego kakamkona. Sijui kalinong'onezwa nini hakoo chaliii netiweki ziro mimi na Moudgulf tukaanza kuhangaika kukafufua. It was scary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo Carba nilimuona humu jioni tukasalimiana. Bila shaka atakuwa ndo anaingia kazini...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vile jakitoo alivyo mcheshi sasa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ubaya wa hizi likes ni kwamba hazina ukomo. Mimi nimeweka malengo. Ninayo namba kamili nikiifikisha tu basi nitapunguza sana kuingia humu. Shida sasa itakuwa zizi langu kwa sababu humu ukizubaa tu unakuta watu walishafanya yao. Yaani marevolusheni nje nje mpaka inakera !!!
Haiwezekani...
Nitakaa kikao na ndugu yangu Cole. Lazima carba abaki kwetu,naamini Cole atabadilika kwenye mwezi wa tano mwakani(hakutakuwa na ipielo wala yusielo) na carba nitamrudisha kwa mume (bila kujali kama atakuwa amenenepa kwa mbele) waendelee na maisha yao."alichokuwa anakitafuta atakuwa amekipata(asema Shimba)" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] undugu kusaidiana kwenye shida. Weraaaaaa weraaaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Numbisa[emoji15] [emoji15] [emoji15] utulize kichwa???Naweza kuandika ila mpaka nitulize kichwa mno. Na tatizo sipend kuweka nguvu hizo likes zitanipita mie hahahaa
Nitaongea na ndugu yangu,naamini tutafikia muafaka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We jamaa wewe. Na unategemea Cole atampokea? Ukimnenepesha kwa mbele basi utakuwa huna haki ya kumrudisha. Kazi ipo !!!
Ndo hapo sasa. Sijui nitafanyeje? Akiweka tu miziki yake Cole huyuuu na paraboz zake. Mara kaYego hakaa kanapayuka 'Kitoooooo! Yaani mtu inabidi ukae unazunguka zunguka humu kuangalia hali ilivyo. Hiki ndo kinaninyima raha !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vile jakitoo alivyo mcheshi sasa...