Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shemejiiii
Hatukupata hata muda wa kukaa vikao vya ukoo tayari ukawa ushajiwahi. Anyway, kama ni mke umepata ila tu kaa mbali na ipielo. Na ukumbuke kuwa kuna Yego naye anakuwashia indiketa. Jana mida ya wanga mpaka alizimia tukaanza kumpa CPR kisa Carba. Shauri yako !!!
 
028f85772653d9b082a1f12bae5cf930.jpg
 
Hatukupata hata muda wa kukaa vikao vya ukoo tayari ukawa ushajiwahi. Anyway, kama ni mke umepata ila tu kaa mbali na ipielo. Na ukumbuke kuwa kuna Yego naye anakuwashia indiketa. Jana mida ya wanga mpaka alizimia tukaanza kumpa CPR kisa Carba. Shauri yako !!!
Mwe mwe mweee!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] mfwile lilino...
Ipielo sio jirani yangu kabisaaa,ila kumshinda tineja ndipo pana kazi...
Nimehangaika sana kumtafuta carba kwa mfumo tofauti simpati...ni nini? Mwenzangu utakuwa umeonana nae siku za karibuni labda?
 
Back
Top Bottom