Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9638e994ab395c3af39222a7836a8124.jpg
 
Mwe mwe mweee!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] mfwile lilino...
Ipielo sio jirani yangu kabisaaa,ila kumshinda tineja ndipo pana kazi...
Nimehangaika sana kumtafuta carba kwa mfumo tofauti simpati...ni nini? Mwenzangu utakuwa umeonana nae siku za karibuni labda?
Jana alikuwa kazini usiku. Ndipo ka Yego kakamkona. Sijui kalinong'onezwa nini hakoo chaliii netiweki ziro mimi na Moudgulf tukaanza kuhangaika kukafufua. It was scary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo Carba nilimuona humu jioni tukasalimiana. Bila shaka atakuwa ndo anaingia kazini...
 
Yaani ni shida. Ila Carba hajasema kama ameikubali hii ndoa. Anasema anataka kuhama ukoo..na hapo ndipo Yego comes into the equation. Tunasubiri kuona itakavyokuwa !!!
Haiwezekani...
Nitakaa kikao na ndugu yangu Cole. Lazima carba abaki kwetu,naamini Cole atabadilika kwenye mwezi wa tano mwakani(hakutakuwa na ipielo wala yusielo) na carba nitamrudisha kwa mume (bila kujali kama atakuwa amenenepa kwa mbele) waendelee na maisha yao."alichokuwa anakitafuta atakuwa amekipata(asema Shimba)" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] undugu kusaidiana kwenye shida. Weraaaaaa weraaaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Naweza kuandika ila mpaka nitulize kichwa mno. Na tatizo sipend kuweka nguvu hizo likes zitanipita mie hahahaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ubaya wa hizi likes ni kwamba hazina ukomo. Mimi nimeweka malengo. Ninayo namba kamili nikiifikisha tu basi nitapunguza sana kuingia humu. Shida sasa itakuwa zizi langu kwa sababu humu ukizubaa tu unakuta watu walishafanya yao. Yaani marevolusheni nje nje mpaka inakera !!!
 
Back
Top Bottom