Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bendeji za aina mbalimbali
Mafuta ya mgando
Asali
Dawa ya mzio/aleji ya kupaka (Mfano Hydrocortisone)
Maji safi safi na salama
Pesa ya akiba/dharura kwa ajili ya matibabu tu
Plasta
Glovu za kuvaa mikononi
Nguo safi ya kumfunikia au kumpepea mtu
 
Hivyo ni muhimu sana kwa kuanzia. Kwa matatizo madogomadogo kama vile majeraha madogo, maumivu madogo na ya muda mfupi, kung’atwa na mdudu, kuungua moto sehemu ndogo nk hayo yote huweza kumalizwa kwa huduma ya kwanza tu.
 
Kwa matatizo makubwa makubwa kama vile kuungua moto sehemu kubwa, kutokwa na damu nyingi na kadhalika ni vyema kumpa mtu huduma ya kwanza ili kulidhiti tatizo lisizidi kuwa kubwa na kumuwahisha mgonjwa hospitali.
 
Back
Top Bottom