Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ATHARI ZA MATUMIZI MABAYA Â YA DAWA HIZI

Dawa hizi zina athari kubwa sana kwa mtu yeyote atakayetumia vibaya, hivyo usitumie vibaya dawa hizi. Usitumie bila kuwa na tatizo kubwa na kushauriwa na daktari.
 
Bila shaka umewahi kuiona au kusikia kuhusu dawa hii ijulikanayo kama Diazepam, maarufu kama Valium.
Dokta. Ukipata muda naomba uongelee na hii dawa. Juzi kuna mtu (Yego) alipoteza netiweki baada tu ya kusikia jina lake. Ningependa kujua inavyofanya kazi kwa sababu sijawahi kuona dawa yenye uwezo wa kumwangusha mgonjwa kwa kuisikia tu ikitajwa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
d35917cce8ea3ed273af99060b81c058.jpg
 
Kwa watu wasio wagonjwa na wale ambao ni wagonjwa lakini hawajashauriwa kutumia dawa hii basi wasitumie kabisa dawa hii. Wazazi na walezi wasitumie dawa hii kwa watoto wao bila kupata ushauri wa daktari.
 
Hahahahaha jaman.
Dokta. Ukipata muda naomba uongelee na hii dawa. Juzi kuna mtu (Yego) alipoteza netiweki baada tu ya kusikia jina lake [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
d35917cce8ea3ed273af99060b81c058.jpg
 
Back
Top Bottom