moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mi nashukuru mungu, tupo tunaburudika tuSalama kabisa kiongozi,habari ya wewe
Mi nashukuru mungu, tupo tunaburudika tuSalama kabisa kiongozi,habari ya wewe
Karibu sana. Guest room self contained inatazamana na master bedroom iko tayari. Ngoja nikioshe kiCorolla changu tayari kuja kukupokea eapoti...Basi naja mwenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] chezea Andjul . anamsomesha namba kijana Cole . [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mi simoIna maana ndoa ile umeikubali? Yaani jamaa kajitwalia shemejiye kwa kukurupuka tu na kujitangazia hivi hivi? I kanti bilivu zisi izi hapeningi !!!
Hii dawa vijana wanaitumia kama mbadala wa madawa ya kulevya jaman kizazi hikiMkuu ukimaliza darasa la Valium ambayo imehusika kuondoa uhai wa baba wa rafiki yangu, kuna dawa ya maumivu inaitwa Tramadol, vijana hapa Dar huitumia bila ushauri wa tabibu hasa wanapoanza harakati za kuacha kuvuta unga
Asante shemeji...Pole shemeji...
Huko vijijini hii dhana ya matumizi sahihi ya madawa haya ya hospitalini ndiyo ziro kabisa. Vidonge vya Malaria vinakuwa abused mno. Watu wanaazimana mpaka dawa. Imagine that....
We Dada ni mtaaaata[emoji3] [emoji3] [emoji3] siyo bureChaaa!umtoe kama mahari tena?
Sasa Cole si kashapigwa talaka au nije na andjul?
Ukiuchukulia siriazi hautasavaivu na utakuwa unakwazika kila siku.........Hakuna anayeuchukulia huu utaki serious bhana[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yaani safari yaanza kesho acha nipange nguo kabisa[emoji164] [emoji161] [emoji163] [emoji162]Karibu sana. Guest room self contained inatazamana na master bedroom iko tayari. Ngoja nikioshe kiCorolla changu tayari kuja kukupokea eapoti...
Kilicho pangwa na aliye juu,lazima kitimie na hatimaye kimetimia...Mengine yatabaki story tuIna maana ndoa ile umeikubali? Yaani jamaa kajitwalia shemejiye kwa kukurupuka tu na kujitangazia hivi hivi? I kanti bilivu zisi izi hapeningi !!!
Kitoo siyo Yego jamani mpaka apoteze netiweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utamfanya kitoo apoteze network[emoji3] [emoji3]