Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Utamfanya kitoo apoteze network[emoji3] [emoji3]Ila nitapitia koromije kwanza nikae kae kama miezi 3 au mi4 hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kikao kitakuwa kigumu kwa sababu mhusika mmojawapo mkuu ndiye kajiozesha. Aliyelimwa talaka naye haonekani sijui ndo amesusa jumla. Hicho kikao kitaendeshwaje sasa?Kaeni kikao sasa muamue tena nawapa 24hrs muwe mshafikia maamuzi la sivyo nafanya maamuzi magumu.
Halafu shem hii ndoa mpya mbona kama unaiwekea vipingamizi[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amen[emoji120] [emoji120]
Cc:andjul hebu kuja huku kwanza,shemeji anapiga vita hii ndoa yetu mpya[emoji17] [emoji17]Nina sababu zangu. Andjul hapana kwa kweli. Afadhali hata urudi kwa Cole tu. Tena sasa hivi atakuwa keshajifunza na hatakuteki fo grantedi tena...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda kusalimia usiwe nashaka kipenzi[emoji23] [emoji23]![]()
Heeee!!! Ina maana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Andjul bwana dah! Subiri kaYego kakija. Labda usinywe maji leo. Utaviona vimamba kwenye glasi !!!Kitu ilimpiga vaisi vesa baada ya kuitumia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eee Mungu niinue mbele ya maadui zangu[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yego kwisha habari yako.[emoji124] [emoji124] tembea na Yesu,ameeni,tembea na Yesu,ameen haleluya ameen[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mama wa mimi huyoo...
Niaje wangu
Amini unachokiona hata kama hukiamini kiimani mkuu !!!He wauza matango mpaka jf au macho yananiongopea!
Na ndiyo lengo hilo,tatizo mkoromije hategeki[emoji23] [emoji23] [emoji23] la sivyo kitoo ningemkomesha[emoji125] [emoji125] [emoji125]Utamfanya kitoo apoteze network[emoji3] [emoji3]
Itaneni tu mliopoKikao kitakuwa kigumu kwa sababu mhusika mmojawapo mkuu ndiye kajiozesha. Aliyelimwa talaka naye haonekani sijui ndo amesusa jumla. Hicho kikao kitaendeshwaje sasa?
Pole shemeji...Aiseeh!pole yake
Ila tramadol siyo kabisa ile ilitaka kunizimisha siku moja sina hamu nayo
Nacheeekaa [emoji3] [emoji3] [emoji3]Karibu sana shemeji. Yule ndama wenu niliyewaahidi na Cole anazidi kunona. Mkizubaa nitakuja kumtoa mahari kwa akina Jakitoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utani huu ndiyo sababu kuu mojawapo inayonifanya niumiss uzi huu. Na kwa asilimia 99.99 huu ni utani japo pia haitashangaza kama michomozo ya hisia za kweli itajiibua hapa na pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3]K umbe kwenye utani huu kuna watu wanafanya kweli!!!! duuuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]