Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baba mmoja alifariki jioni saa 10:30 kwa malaria, jioni mama amelia sana mpaka presha yake ikashuka kama ilivyo kawaida. Ndugu wakaanza kumpepea wakasema "huyu ana presha" hawakufafanua. Jirani mmoja akasema "ngoja nikamletee vidinge vyangu" mama aliyefiwa alikuwa na presha ya kushuka, akapewa vidonge vya mtu mwenye presha ya kupanda. Masaa machache mama akazimika. Lilikuwa tukio baya, mahiwa st kariakoo Dam
Hapo sasa. Tatizo hata kama angetokea mtu mwenye welewa hapo akawakanya mapema halafu la kutokea litokee naye angelaumiwa tu.

Mzee mmoja nilishuhudia akikaribia kufa kisa amekataa kumeza vidonge kimoja kimoja akidai tuvidonge tudogo mno na kwa jinsi alivyokuwa hoi kamoja kasingemtosha. Basi akapiga vitatu mweh! Ilichukua nguvu ya ziada na bahati nzuri kulikuwa na Dr family friend akaja wakaanza kumpa madawa mengine, mashine ya oksijeni na ishu zingine ndo kidogo "akafufuka"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vimamba kwetu Kyela ni mboga.Awatume tu nijitwaalie mboga
Siyo hivi vya Nansio. Hivi ukisogeza tu mdomo tayari vinakuwa full grown crocs vinakugeuza lunch immediately. Usichanganye madesa ndugu yangu tusije tukaimba mapambio na mkeo umuache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo sasa. Tatizo hata kama angetokea mtu mwenye welewa hapo akawakanya mapema halafu la kutokea litokee naye angelaumiwa tu.

Mzee mmoja nilishuhudia akikaribia kufa kisa amekataa kumeza vidonge kimoja kimoja akidai tuvidonge tudogo mno na kwa jinsi alivyokuwa hoi kamoja kasingemtosha. Basi akapiga vitatu mweh! Ilichukua nguvu ya ziada na bahati nzuri kulikuwa na Dr family friend akaja wakaanza kumpa madawa mengine, mashine ya oksijeni na ishu zingine ndo kidogo "akafufuka"
Hizi dawa majanga. Kidonge kidogo tu cha salbutamo kama hauumwi kifua au pumu usitumie yaan utaisikia mifupa ikitetemeka hadi ndani,baridi sio barid njaa sio njaa
 
Kukukinga dhidi ya hatari zinazoletwa na mrundikano wa mafuta mengi mwilini
Hatari za mrundikano wa mafuta mengi mwilini ni pamoja na kuganda kwenye mishipa ya damu na moyo na kupelekea kupungua kwa njia ya kupita damu na moyo kutumia nguvu nyingi sana kusukuma damu.
 
Pia mafuta mengi humfanya mtu kuwa na uzito mkubwa na unene uliopitiliza, kuweza kupata magonjwa mbalimbali kama vile kisukari, shida katika upumuaji, mwili kuwa mvivu na kushindwa kufanya kazi vizuri, matatizo ya miguu na kadhalika
 
Kudhibiti Uzito mkubwa na Magonjwa yanayosababishwa na Mafuta mengi mwilini

Kupunguza mafuta husaidia sana kudhibiti matatizo mbalimbali kama vile uzito mkubwa na unene uliopitiliza, kisukari, presha, matatizo ya moyo nk
 
Ni jukumu letu kuhakikisha kwamba tunadhibiti kiasi cha mafuta katika mapishi na ulaji wetu. Hata kama wewe sio mpishi au muandaaji wa chakula hakikisha unafikisha elimu na ushauri huu kwa wapishi
 
Back
Top Bottom