Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni muhimu zaidi kusafisha vidonda vyote vizuri, kuvifunika na kuvikinga dhidi ya uchafu na vijidudu na kutumia dawa zinazosaidia kuua vijidudu ili vidonda viweze kupona vizuri na haraka.
 
Siyo hivi vya Nansio. Hivi ukisogeza tu mdomo tayari vinakuwa full grown crocs vinakugeuza lunch immediately. Usichanganye madesa ndugu yangu tusije tukaimba mapambio na mkeo umuache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siipendagi ile pambio ya "amenyamaza kimya"... Halafu chanzo kiwe kayego kamefanya yake...nakaua kwa kweli
 
Sijui nihame ukoo mana hata sielewi kwakweli
Uhame ukoo au ubadilishe mume? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Pia utahitajika kurudi tena na tena katika kituo hicho unapopatiwa huduma ili usafishwe na kuwekwa dawa. Unaweza kupewa na dawa za kudhibiti bakteria kwa kuwa sasa upo kwenye hatari zaidi ya kuwa wameshaingia mwilini mwako au wataingia. Hapa ndio maana unapewa dawa za kumeza kwa ajili ya kuua hao bakteria.
 
Back
Top Bottom