carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Makaburi gani tena?[emoji17] [emoji17] [emoji17]Wee mzee,unapigana vita ya kimya kimya? Yale makaburi manne ya nyuma yalikuwa yanamaanisha?
Kweli kikulacho.... Broo popote ulipo niajeee
Makaburi gani tena?[emoji17] [emoji17] [emoji17]Wee mzee,unapigana vita ya kimya kimya? Yale makaburi manne ya nyuma yalikuwa yanamaanisha?
Kweli kikulacho.... Broo popote ulipo niajeee
Oni mai weiiii[emoji125] [emoji125]Longi taimu kitambo mbona!!
Yua welo kamu beibi
Uende wapi? Hamna cha talaka kupewa,ila unafanyiwa replacement tu.Sijui nihame ukoo mana hata sielewi kwakweli
Huruma na wewe? Ini wani sentensi? Thubutuuuu !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuonea huruma mdogo wangu
Uzungu kaka,hatutaki majiMakaratasi tuliyojaziwa maofisini humu si ya kitoto, hakuna cha maji wala nini. Maji unakutana nayo nje hapo uoshe mikono. Hii pia inaenda kinyume na baadhi ya imani. Toilet paper hizi ni dharula, lakini zimekuwa za kudumu
JiraniiiiiiShemeji anasifiwa..
Udhihirishie ulimwengu kilichomo moyoni mwako. Unasubiri nini?Sijui na mimi nishangilie[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
AsantePole sana carba. Hizi dawa hatari
Hakuna huzuni tena bro upendo wa kweli ni kutamani kuona yule unaempenda anafurahia maisha ikiwa wewe binafsi umeshindwa kumpa, akipata pa kupata una support 100 percentSad. Vere sad...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Jamaa aliyenunua nyumba za lugumi na inasemekana ni tapeliNani huyu mkuu?
Piga shangwe broSijui na mimi nishangilie[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Umesemajeeee??[emoji134] [emoji134] [emoji134]Veri simpo,ningegivuapu mapemaaaa...
Si unajua "mtalaka hatongozwi" kwa wakati wowote nimtakao namwita...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ohoo! We unataka ufaudu korido peke yako? Hiyo nyumba uliijenga wewe?